Msaada kuhusu Voluntary Jobs!!!

big-diamond

JF-Expert Member
May 23, 2009
408
493
Ndugu wana JF Neema ya Bwana iwe nanyi nyote!

Ninaomba kupata taarifa ni kwa namna gani ninaweza kupata sehemu ya kujitolea ili niweze kuongeza uzoefu zaidi na kuimarisha CV yangu kwani ndio nimemaliza chuo mwaka huu! taarifa yangu fupi ni kama ifuatavyo!

Ba Development Studies
University Of Dodoma
 

dane

Member
Sep 2, 2010
8
1
Unaandika `expression of interest letter,andaa cv then tuma kwenye organization unayopenda kuvolunteer.
 

Janice

Member
Aug 31, 2011
48
11
pia jaribu small NGO's, huwa hawana wafanyakazi wengi coz hwana pesa ya kutosha!!!lazima watakuchukua
 

big-diamond

JF-Expert Member
May 23, 2009
408
493
Thanx Dane N Janice!i appreciate u guys!!!
Nmekuwa nikiwaza n kwa namna gan naweza kupata kasehemu ka kuimarisha CV yangu
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom