salute wakuu! naomba msaada wa namna ya kuondoa virus kwenye simu. Simu yangu inatoa alert kuwa na virus 13, lakini sijui namna ya kuscan. Simu yangu ni sumsung duos, please help. Natanguliza shukrani
Nenda kwenye play store, tafuta antivirus, zipo nyingi download mojawapo na uscan device yako
Usije ukawa umeona Tangazo la Ant virus we ukasema Virus....
Mi toka ninunue simu virus sijawahi kukutana nao. Labda wale unaowachota mwenyewe kwenye memory card kutok kwenye computer
ni kweli mkuu, thanks kwa kunitoa ushamba. kwa hiyo hiyo ni kiini macho siyo?
ni kweli mkuu, thanks kwa kunitoa ushamba. kwa hiyo hiyo ni kiini macho siyo?