Wadau pole na kazi,
naomba kufahamu kuhusu ili.
kuna jamaa ana mke wa ndoa na mtoto mmoja.hivi karibuni amebadili tabia na kusema chanzo ni kugundua kuwa mtoto si wake baada ya kupima.cha ajabu hana document yoyote kutoka kwa mkemia wala alikopimia.suala anamwambia mkewe tu bila msisitizo wa kuitisha vikao vya ndugu wala talaka.na mke anasema ana uhakika 100%mtoto ni wa jamaa na yuko tayari wakapime kwa pamoja lakini jamaa ataki.je mwamamke anaweza kuchukua hatua gani kwani hii ni embalacement kwake.na mtoto anakosa haki yake.ukipima DNA upewi document?
kapimia wapi hiyo dn kwa nnchi kama tanzania na mimi nikapime!wadau pole na kazi,naomba kufahamu kuhusu ili.kuna jamaa ana mke wa ndoa na mtoto mmoja.hivi karibuni amebadili tabia na kusema chanzo ni kugundua kuwa mtoto si wake baada ya kupima.cha ajabu hana document yoyote kutoka kwa mkemia wala alikopimia.suala anamwambia mkewe tu bila msisitizo wa kuitisha vikao vya ndugu wala talaka.na mke anasema ana uhakika 100%mtoto ni wa jamaa na yuko tayari wakapime kwa pamoja lakini jamaa ataki.je mwamamke anaweza kuchukua hatua gani kwani hii ni embalacement kwake.na mtoto anakosa haki yake.ukipima dna upewi document?
achukwe hata nywele za jamaa na za mtoto akapime ila lazima apitie kwa mwanasheria ndio unaenda kwa mkemia mkuu na kila kipimo ni laki so jumla ni laki 2 ila bila kupitia kwa mwanasheria hawezi kupima, kwa uhakika zaidi kuwa na shahidi ndugu wa mume wakati wa kuchukuwa hizo nywele hadi kwenye kipimo ili asiseme umefoji
unapima kwa mkemia mkuu ila lazima upitie kwa mwanasheria ili adhibitishe kama una strong reason ya kupimakapimia wapi hiyo dn kwa nnchi kama tanzania na mimi nikapime!
unapima kwa mkemia mkuu ila lazima upitie kwa mwanasheria ili adhibitishe kama una strong reason ya kupima
yapu bila kupitia kwa mwanasheria huwezi kupima na kwa Tanzania hiyo huduma inapatikana kwa mkemia mkuu tuKwa hiyo mwanasheria ndiyo ana mamlaka ya kuhalalisha hivyo vipimo?
yapu bila kupitia kwa mwanasheria huwezi kupima na kwa Tanzania hiyo huduma inapatikana kwa mkemia mkuu tu
jamaa anatafta sababu tu