Mi najishughulisha na mambo ya video editing hasa za sherehe za harusi , mikutano n.k.
Kwenye kutoa kazi iwe kwa file au ki burn DVD ndio shidaaa inakuwepo. Rendering inaweza kufika masaa 4 hata zaidi.
Naomba kujuzwa niongezee nini kwenye desktop yangu niweze ku burn fasta tu au nipate mashine yenye specs zipi. Mi natumia Pinnacle 19, Adobe na Vegas.
Nawasilisha