Msaada kuhusu video editing and photo editing

noel oga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2015
Posts
277
Reaction score
230
Habar watanzania wenzangu.Nina computer Aina ya toshiba RAM 3 HDD180 nahitaji kufanya video editing and photo editing.je machine yangu hii ina uwezo wa kufanya hizo shughuli na je kama ina huo uwezo ,, je hizi software za editing naweza kuzipata wapi mimi si mjuzi sana wa hiz kazi. msaada hapo
 
ram na HDD vinaongezeka hivyo visikusumbue, cha muhimu ni cpu,

nenda my computer halafu right click kisha properties, nisomee jina la hio cpu.
 
Unaweza kufanya japo utatumia software ndogo ndogo. Ila Ukitaka kutumia ''Professional'' video editing, ni lazima utafute software kubwa kama vile Adobe Première, Sony Vegas etc. Na hapo ni salama zaidi ukawa na computer yenye specification kubwa kuanzia 4 GB RAM, 2.7 GHz clock speed, at least 500 - 1 TB HDD. Huo ni upande wa sisi tunaotumia ''Windows OS''. Ila kwa wale wanaotumia MAC OS - APPLE, wao mara nyingi wanatumia FINAL CUT, na PREMIERE, lakini specification ni lazima zianzie hapo kupanda.

Karibu kwenye ulimwengu wa media.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
toshiba satellite pro L450
32 Os
installed ram 3GB
 
nashukuru,je nazipata wapi hizi softwares
 
KUAUYAONE hizo software ndogondogo nazipata wapi
 
toshiba satellite pro L450
32 Os
installed ram 3GB
Ram ni HDD ni rahisi Ku upgrade. Ila kwenye processor ndiyo kazi ipo. Ila nadhani unaweza kuanzia hiyo hiyo kwa software ya Adobe Premiere version za chini na ukafanyia kazi mpaka uwe umezoea na kupata hela ndo ununue computer kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20170725_084844.jpg
 
Wewe uko wapi????? Mimi niko Arusha naweza kukusaidia namna ya kuzipata kama uko hapa Arusha. Ila kama uko mbali na huku, tafuta mtu anayefanya kazi za editing ya video utapata mtapata mtandao na utapata tu naamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
napatikana singida,naomba namba yako mara nying nafika arusha
 
Ok namba zangu 0767 767 299, pia ulizia watu wanaofanya kazi za video lazima utapata namna ya kupata software ndogo ndogo kama Pinnacle uanzie. Hata hiyo uliyo nayo inaweza Ku - install Adobe CS 3, na ikafanya kazi tu.

Siku njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chief nimeweka picha hapo
tafuta 32bit version za software hizi.

upande wa picha
-adobe photoshop, ikiwa version mpya ni bora zaidi, hii ni ya kulipia ila unaweza tafuta iliochakachuliwa

-alternative kwa bure kuna gimp unaweza kuidownload hapa

https://download.gimp.org/mirror/pub/gimp/v2.8/windows/gimp-2.8.22-setup.exe

kwenye video i recomend cyberlink power director ila ni ya kulipia, unaweza pia kuichakachua

alternative download movie maker windows ni ya bure link hii

http://www.softpedia.com/get/Multimedia/Video/Other-VIDEO-Tools/Windows-Live-Movie-Maker.shtml
 
ahsante CHIEF na wewe pia nisaidie namba yako
 
Back
Top Bottom