Habarini za asubuhi waungwana!
Ninaomba ufafanuzi kuhusu utofauti kati ya PAPER-BASED AND INTERNET-BASED TOEFL TEST kwa yeyote anayejua. natakiwa nifanye test hiyo na nimeambiwa nichague kati ya hizo mbili ili nifanye tar 10.
Tafadhalini anayejua pia vitu gani vya msingi mtu unapaswa kujiandaa navyo katika mtihani wa aina huo.
Natanguliza shukrani za dhati.