Victor Bravo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 264
- 241
Nipo mbeya mkuuHiyo ni asymptomatic gonnorrhea(kisonono).....ni nadra sana kuitofautisha na UTI inabidi uende hospitali nzuri wakufanyie discharge swab waoteshe hiyo discharge kuona kama kuna Growth yyt ya gonococci bacteria....uko mkoa gani??...ili nione namna ya kukusaidia
nashukuru mkuu wacha nifanye ivooPOle sana Ndugu yangu unapaswa kupma magonjwa ya ngono yote , inawezekana ,sometimes hospital zenu hutabili majibu bla kupma so walitumia maelezo yako inavyoonyesha, fanya vipmo vyote vya STD katk hospital nyingine ya uhakika , uwaambie unahtaji kupma StD . alafu ukipata majibu njoo uniambie
Fanya hivi nenda hospitali ya rufaa mbeya au ya mkoa uonane na dr ufanyiwe culture/waoteshe mkojo kwenye media ili waone ni bacteria gani ataota wakishaota watatumia hao bacteria kufanya sensitivity test kuangalia ni dawa ipi inaweza kumaliza tatizo hilo na dawa utakayopewa ndio itamaliza tatizoSalamu zangu kwa wote humu ndani, mimi ni kijana wa kiume nina miaka 25, nakumbuka mwaka jana kwenye mwezi wa 10 ivi nilipatwa na tatizo la UTI ambalo lilinishtua kidogo kwasababu sikuwahi kuumwa halafu ni kama ilikua UTI kali japo sijui UTI kali na isiyo kali ni ipi.
Kwanini nasema kali kwasababu yalianza tu maumivu wakati wa kukojoa mimi nikiwa nayapuuza tu badae maumivu yakazidi badoo nikahisi ni tatizo linapita tuu,,lkn siku moja naamka asubuhi naona kama boxer yangu ina usaha kabisaa nikashtuka kweeli,,khali ya mfuko nayo si nzuri ikabidi nitafute hela niende hospitali lakini siku moja kabla ya kwenda hosptal nikajiangalia ivi uume asubuhi nikakuta usaha mwingi saana unatoka kwenye sehemu ya kutolea mkojo, nikapata wasi wasi moja kwa moja mpaka hospitali
Hosptal wakachukua kipimo cha mkojo wakaniambia tu nina UTI wakanipa dawa aina mbili tu za kumeza cipro na panadol afu walinipa nusu dozi sijui nikameza zikaishaa nafuu kidogo nikapata.
Lakini khali ya maumivu ikaendelea kunipata, nikaongea na jamaa yangu mmoja ivi wa karibu akaniambia yeye mwenyewe anasumbuliwa na UTI lakini dozi iliyomponyesha ni ya cipro pamoja na doxy, akanishauri nitumie pia nikatumia nikapata nafuu, lakini sikupona kabisaa yaani ikawa kama nimekunywa maji mengi maumivu sisikii ila nikiwa busy sijanywa maji nasikia maumivu.
Mpakaa leo naandika hapa bado nasikia maumivu wakati wa kukojoa hasa wakati wa asubuhi ndio maumivu huwa makali zaidi sasa NAOMBENI USHAURI doctors wa humu je kuna dawa naweza nikatumia kwa tatizo hili ambazo ni nzuri kuliko cipro na doxy, au nirudi tena hospitali?
Natanguliza shukrani zangu!
Duu Asantee mkuu nitajitahidi niende rufaa... Japo mpka natishika sasa hiyo gonoccoco sijui nimeikuta wapi daaaFanya hivi nenda hospitali ya rufaa mbeya au ya mkoa uonane na dr ufanyiwe culture/waoteshe mkojo kwenye media ili waone ni bacteria gani ataota wakishaota watatumia hao bacteria kufanya sensitivity test kuangalia ni dawa ipi inaweza kumaliza tatizo hilo na dawa utakayopewa ndio itamaliza tatizo
Kosa
Wewe ulikuwa na dalili za gonococco arthrits ambayo ni ugonjwa wa kisonono(gonnorhea) wakati wanakutibu walikosea kukupa tiba maana ciplo sio rahisi kuondoa tatizo na panadol tuu
Dr wa kwanza kabisa alitakiwa akupe mchanganyiko wa dawa za either
Ciplo7+doxy7+metro5 or sindano spectomycin or powercef 2g stat uendelee na ciplo dox na metr
So kakosea kasababisha wamekuwa sugu sasa fanya culture tuu
Asante madame,polee nawewe piaMimi pia sikuwahi kuumwa u.t.I ikaanza mwaka Jana..
nmekunywa:
Cipro
Metro
Dox
Flu can
zile za kutumbukiza kwa papuchi aina zote
zile za rangi mbili
nmechoma cetriaxone mpaka mishipa imesimama...ya mkononi!
yani mwaka Jana nmeumwa zaidi ya mara5
mpka napotezea sometimes...
yani nmechoma sindano mpaka najichanganyia mwenyewe kasoro kujichoma!
Mimi nahisi hizi dawa haziondoi ugonjwa!
zinazidisha!!
na mpaka sasa Niko na dozi ...
ya (NITROFRULANTOIN & PIROXICAM)
jaribu hizo nasikia ni nzuri Sana.
Kama ulikutana na mwanamke mwenye tatizo la pid na kuumwa sana tumbo na kuumia wakati wa sex obviously ni rahisi kupata gonno wanawake wengi ni carriers wa ttzDuu Asantee mkuu nitajitahidi niende rufaa... Japo mpka natishika sasa hiyo gonoccoco sijui nimeikuta wapi daaa
asante, hapa nahainga tuAsante madame,polee nawewe pia
Duu Asantee mkuu nitajitahidi niende rufaa... Japo mpka natishika sasa hiyo gonoccoco sijui nimeikuta wapi daaa
Asantee saana mkuuPole sana mkuu ungekua Arusha ningekuelekeza uende Lancet Labs kwajili ya culturing na sensitivity....ila nenda hospitali ya rufaa hapohapo mbeya uongee na daktari mtaalamu sio hawa ma Clinical Officer....pia wanawake wengi ni ma carrier wa gonorrhoea na wao wanatibu UTI ....uwe unatumia condoms mkuu