Victor Bravo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 265
- 241
Salamu zangu kwa wote humu ndani, mimi ni kijana wa kiume nina miaka 25, nakumbuka mwaka jana kwenye mwezi wa 10 ivi nilipatwa na tatizo la UTI ambalo lilinishtua kidogo kwasababu sikuwahi kuumwa halafu ni kama ilikua UTI kali japo sijui UTI kali na isiyo kali ni ipi.
Kwanini nasema kali kwasababu yalianza tu maumivu wakati wa kukojoa mimi nikiwa nayapuuza tu badae maumivu yakazidi badoo nikahisi ni tatizo linapita tuu,,lkn siku moja naamka asubuhi naona kama boxer yangu ina usaha kabisaa nikashtuka kweeli,,khali ya mfuko nayo si nzuri ikabidi nitafute hela niende hospitali lakini siku moja kabla ya kwenda hosptal nikajiangalia ivi uume asubuhi nikakuta usaha mwingi saana unatoka kwenye sehemu ya kutolea mkojo, nikapata wasi wasi moja kwa moja mpaka hospitali
Hosptal wakachukua kipimo cha mkojo wakaniambia tu nina UTI wakanipa dawa aina mbili tu za kumeza cipro na panadol afu walinipa nusu dozi sijui nikameza zikaishaa nafuu kidogo nikapata.
Lakini khali ya maumivu ikaendelea kunipata, nikaongea na jamaa yangu mmoja ivi wa karibu akaniambia yeye mwenyewe anasumbuliwa na UTI lakini dozi iliyomponyesha ni ya cipro pamoja na doxy, akanishauri nitumie pia nikatumia nikapata nafuu, lakini sikupona kabisaa yaani ikawa kama nimekunywa maji mengi maumivu sisikii ila nikiwa busy sijanywa maji nasikia maumivu.
Mpakaa leo naandika hapa bado nasikia maumivu wakati wa kukojoa hasa wakati wa asubuhi ndio maumivu huwa makali zaidi sasa NAOMBENI USHAURI doctors wa humu je kuna dawa naweza nikatumia kwa tatizo hili ambazo ni nzuri kuliko cipro na doxy, au nirudi tena hospitali?
Natanguliza shukrani zangu!