shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,337
Heshima kwenu wadau
Kwa ufupi nimenunua gari yangu ya kwanza mwez huu na umeingia nchini last week..
Agent wangu akafanya taratibu zote za assesment na nikapewa karatasi inayoonesha kodi nayopaswa kuilipa tra..
Ile fomu imeandikwa commissioner wa customs na ikawekwa account no. na jina la bank ambayo commissioner ana miliki account ambayo imeandikwa bank of tanzania..
Baada ya agent kunipa hiyo fomu nikaichek na kwenda bank yangu napotumia crdb na kulipa hiyo kodi kwenye account ya kwenye fomu yangu ya assesment ambayo nilituma straight BOT kwenye account ya commissoner wa customs kwa tt transfer.
Then nikamjib agent nimeshalipa na kumpa copy ya tt..
Sasa agent kaenda port kufatilia release order kaambiwa kodi haionekani kwenye system..
Ningepaswa kuilipa kwa ku deposit kawaida kwenye bank yoyote so gari haipewi release order.
Hapo ndipo nimedata sijui hata nianzie wapi