vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 919
- 598
Nawasalimu wana JF wote,
Kuna mtu ameniomba msaada kuhusu jambo lifuatalo: Rafiki yake anataka kumuuzia nyumba iliyojengwa kwenye kiwanja ambacho bado hakijapimwa. Karatasi ya manunuzi ya kiwanja hicho haikushirikisha serikali ya kijiji, yaani iliandikwa kienyeji ingawa kulikuwa na mashahidi.
Je, afanyeje akitaka kuinunua nyumba hiyo ili asipate matatizo hapo baadae?
Nimemwambia suala hili nitalipeleka kwa wana JF ili watoe ushauri.