Naomba kujua kama kuna uwezekano wa kupata nafasi ya kujitolea nje ya nchi (mfano Sudan, Congo, Sierra Leone au hata nje ya bara) kama UNVolunteer hata kama ni mara ya kwanza kujitolea.
Kujtolea kufanya nn!?wanajitoleaga nchi masikin kusaidia mambo kadhaa.. Nliwah kwenda ubalozin pale osterbei nkaelekezwa vizuuuur! Jarib kwend ubaloz kaka