Msaada kuhusu ugonjwa wa Arthritis

Msaada kuhusu ugonjwa wa Arthritis

Beatus Alex

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
43
Reaction score
33
Habarini wadau, naomba ushauri wa tiba au dawa kwa mtu aliye umwa ugonjwa wa Arthritis ( barid yabisi) kwasababu nateseka sana na huu ugonjwa na nisha tumia dawa nyingi. Na unaniumiza sana maeneo ya kiuno na wakati mwingine nashindwa ata kuinama na kusimama vizurii.

Please wadau naombeni msaada. Niko serious
 
Are there no cures for it ??!!🤣
Ngoja ntaongea na rafiki yangu ni specialised nurse wa watu wazima ndio asilimia kubwa ya wagonjwa wa arthritis atanipa majibu zaidi wanafanye NHS for long term care.

As yet I am just offering information NHS wakikwambia hakuna tiba then hakuna.

Kuna maradhi mengine yakisha progress ayatabiki tena ni kama type 2 diabetes kuna hatua ukishafika mawili ‘self management’ ya condition ili uzuie ugonjwa ku develop na kukuletea madhara zaidi au uzembee ugonjwa u-progress uzue mambo mengine; kazi kwako.

Hizo link ni part of public health promotion nchi za wenzetu; huyu mtu ajue ana deal na nini.

Anyway ushaniboa sichangii tena kwenye hii mada na wala simuulizi huyo specialised nurse, wacha niendelee na J.D yangu usiku mwema nikuachie wewe mwenye kuijua tiba ushauri.
 
Just no cure or no cure available or no cure in their possession??!!

They are very stupid. 😨
NHS as been voted the best health care service in the world for more than 10 years in a row.

Wakikwambia hakuna tiba zaidi ya ku manage condition maana yake unaweza idhibiti tu na kuishi nayo bila ya kukusumbua sana, ila ukiacha; kidali.

Sasa kama wewe unajua zaidi yao, mimi nani nikubishie. Nilikuwa na mpango wa kumuuliza rafiki yangu ambao ndio patients wake how they manage patients conditions nimeona nikuachie wewe umsaidie mgonjwa.
 
Ngoja ntaongea na rafiki yangu ni specialised nurse wa watu wazima ndio asilimia kubwa ya wagonjwa wa arthritis atanipa majibu zaidi wanafanye NHS for long term care.

As yet I am just offering information NHS wakikwambia hakuna tiba then hakuna.

Kuna maradhi mengine yakisha progress ayatabiki tena ni kama type 2 diabetes kuna hatua ukishafika mawili ‘self management’ ya condition ili uzuie ugonjwa ku develop na kukuletea madhara zaidi au uzembee ugonjwa u-progress uzue mambo mengine; kazi kwako.

Hizo link ni part of public health promotion nchi za wenzetu; huyu mtu ajue ana deal na nini.

Anyway ushaniboa sichangii tena kwenye hii mada na wala simuulizi huyo specialised nurse, wacha niendelee na J.D yangu usiku mwema nikuachie wewe mwenye kuijua tiba ushauri.

Sija kuboa, lazima ujue kila ugonjwa unayo cure yake isipokuwa swali ni hili; ni wapi hapa duniani mtu anaweza kupata dawa ya ugonjwa fulani ??!
 
Sija kuboa, lazima ujue kila ugonjwa unayo cure yake isipokuwa swali ni hili; ni wapi hapa duniani mtu anaweza kupata dawa ya ugonjwa fulani ??!
Kama kila ugonjwa una tiba kuna dawa ya type 2 diabetes?

Kwanza kabla atujapotozeana muda unajua tofauti ya ya ‘medical cure’ na medicine or life style changes which only manage the conditions from worsening.
 
NHS as been voted the best health care service in the world for more than 10 years in a row.

Sasa kama wewe unajua zaidi yao mimi nani nikubishie; nilikuwa na mpango wa kumuuliza rafiki yangu how they manage patients conditions nimeona nikuachie wewe umsaidie mgonjwa.

Tupo hapa kumsaidia mwenzetu huyo na usigome kumsaidia kwa kunifanya mimi ndio kikwazo, mimi ninapinga hiyo discourage yako kwamba hakuna tiba ya ugonjwa huo, je hao NHS wametembea dunia yote kutafiti kwamba hakuna tiba ??!!---- do not be blindfolded by those motherfuc.... agents, organs, institutions, etc.
 
Kama kila ugonjwa una tiba kuna dawa ya type 2 diabetes?

Kwanza kabla atujapotozeana muda unajua tofauti ya ya ‘medical cure’ na medicine or life style changes which only manage the conditions from worsening.

Shida yako Uzungu umeku blindfold your thinking capacity.--- kila asemacho mzungu unabeba kama kilivyo, kumbuka baadhi ya kauli zina discourage hata tafiti za magonjwa sugu, nenda Youtube uone dawa za kutibu hiyo type 2 diabetes ambazo hao wazungu (the big pharms) hawataki ziwe publicised ili kulinda masoko ya dawa zao za kucontrol huo ugonjwa. White men are very cunning.
 
Tupo hapa kumsaidia mwenzetu huyo na usigome kumsaidia kwa kunifanya mimi ndio kikwazo, mimi ninapinga hiyo discourage yako kwamba hakuna tiba ya ugonjwa huo, je hao NHS wametembea dunia yote kutafiti kwamba hakuna tiba ??!!---- do not be blindfolded by those mothefuc.... agents, organs, institutions, etc.
Wazungu awafanyi mambo kwa kutumia mitishamba au kubahatisha wao wanatumia science.

For staters wanajikita kwenye pathophysiology on how the condition occurs and it’s effects on the system it impacts, how the body deteriorates and measures to minimise those risks wakikwambia hakuna dawa ya medical science hakuna; aina maana awana dawa na mbinu za ku manage huo ugonjwa ili huu control.

Sibishani ujinga, have entertained your nonsense enough 👋.
 
Shida yako Uzungu umeku blindfold your thinking capacity.--- kila asemacho mzungu unabeba kama kilivyo, kumbuka baadhi ya kauli zina discourage hata tafiti za magonjwa sugu, nenda Youtube uone dawa za kutibu hiyo type 2 diabetes ambazo hao wazungu (the big pharms) hawataki ziwe publicised ili kulinda masoko ya dawa zao za kucontrol huo ugonjwa. White men are very cunning.
Explain the entire pathophysiology of arthritis first?

Vinginevyo acha kuongea ujinga mambo usiyoyajua na kumpa mtu false hopes kuna conditions zingine kuna dawa za ku manage tu na yeye kubadili maisha sasa badala ya kumwambia mtu ukweli unaleta ubishi wa kijinga.
 
Wazungu awafanyi mambo kwa kutumia mitishamba au kubahatisha wao wanatumia science.

For staters wanajikita kwenye pathophysiology on how the condition occurs and it’s effects on the system it impacts, how the body deteriorates and measures to minimise those risks wakikwambia hakuna dawa ya medical science hakuna; aina maana awana dawa na mbinu za ku manage huo ugonjwa ili huu control.

Sibishani ujinga, have entertained your nonsense enough 👋.

Umeamua kunitusi ?!---- sasa nenda kawaambie hao mabwana zako NHS kwamba dawa ni Binzari , huyo mgonjwa Beatus Alex atumie Binzari kama kiungo katika mboga anazo kula, anaweza kutumia hiyo Binzari kwa Wiki hadi mwezi hadi hapo atakapo pona kabisa.

Unataka ku discourage wagonjwa hapa ili wakate tamaa na wafe!!!, that is a diabolic.
 
Explain the entire pathophysiology of arthritis first?

Vinginevyo acha kuongea ujinga mambo usiyoyajua na kumpa mtu false hopes kuna conditions zingine kuna dawa za ku manage tu na yeye kubadili maisha sasa badala ya kumwambia mtu ukweli unaleta ubishi wa kijinga.

Wewe umekuwa brain washed na Elimu ya wazungu na huwezi totally ku ponder out of the box, Einstein alipata kusema kitu kinachomsumbua ni elimu aliyofundishwa shuleni, hii ni kwamba wakati fulani elimu kwa Mpumbavu inakuwa ni kifungo cha akili yake kuwa self rule, independent to think out of the box, kuna tiba nyingi za magonjwa mbalimbali duniani, wewe umeshikilia hiyo elimu ya tiba za kizungu tu (Allopathic medicine ?!), kuna branches kama Homoeopathic, nk katika sehemu mbalimbali duniani, je wewe kwa akili yako unaweza kukubali kwamba hao NHS wametembea dunia yote hadi katikati ya misitu ya Amazon na Congo kuangalia herbs wanazotumia indigenous peoples huko kutibu magonjwa yao hadi waka conclude kuwa hakuna tiba ya Arthritis ??!!---- pull up your stockings you man.

Unataka nikuelezee jinsi huo ugonjwa ulivyokuwa na ulivyotokea, mimi sijasoma medicine isitoshe kuujua ugonjwa ni tofauti na kujua tiba yake, wewe unaujua ugonjwa lakini hujui tiba yake hiyo ndio tofauti yetu, wewe umekaririshwa kuujua ugonjwa na kuambiwa kwamba hauna tiba.
 
Kama nimekukwaza kwa lugha i take it back, ila usisahau nimekwambia unielezee pathophysiology ya arthritis mpaka sasa unahepa na kuniletea hadithi tu.

Unless you think wazungu ni watu wakujiropokea tu.

Ngoja nikwambie kitu kingine budget ya NHS kwa mwaka ni £176 billion. Kati ya hizo kama £40 billion zinatumika kuwa hudumia wagonjwa wanaoishi na long term medical conditions.

Huyu mgonjwa wetu angekuwa anaishi UK hizi ndio huduma ambazo angepata.

Pads za mikono, kiuno na miguu zinazoongeza hit kumpunguzia maumivu bure.

Kama awezi fanya kazi kwa mwezi angelipwa zaidi ya £1000

Kama anaishi mwenyewe angepewa carer wa kwenda kusafisha nyumba, kupika, kuosha, vyombo etc kama kaoa basi mkewe au mwanawe anaweza lipwa hiyo hela ya kufanya shughuli hiyo.

Therapy za physiology, gym, psychology and counselling ili aweze manage ugonjwa wake bure NHS inalipa.

Yaani mgonjwa mmoja anawa cost sana yote hayo ni kutokana na ‘medical social model theory’ namna sahihi ya kumtibia mgonjwa.

Sasa usidhani it’s not in their government interest kutumia hizo £40 billio sehemu zingine kama kwenye kuboresha shule, kujenga miundombinu, kuwekeza kwenye ulinzi and so forth ila hakuna namna kutokana na social demand on what’s the government ought to do.

So wakikwambia hawana dawa they mean it, na siku zote wanaangalia kama mtu mwingine anayo and how it works even if it’s unrefined. Trust me kama ipo sehemu wao wangekuwa wa kwanza kuiba na kuiboresha kwa mtindo wao.

Hivi unajua ata third eye intelligence (ulinzi wa ushirikina wa kutumia waganga, voyeurs, etc) wazungu ndio walikuwa wakwanza kuuweka kwenye system zao if they think a person has that powers.

Wakikwambia hakuna dawa hakuna mjomba, but they will have done anything for to manage the condition to reduce the risks of health deterioration.

Why so, it costs them a lot of money to care for long term conditions na mimi najuaje haya mambo

CF776335-7208-45E2-816F-BD46B417069D.png

Nimemfyatulia mtu report zote hizo ‘SHK0115 evidence based interventions’ option zilikuwa diabetes, arthritis or dementia.

Mwenyewe alitaka arthritis kwa sababu anailewa zaidi kupitia field work, mimi nikafanya diabetes because I was more comfortable.

Wewe unajiropokea tu.
 
Wazungu awafanyi mambo kwa kutumia mitishamba au kubahatisha wao wanatumia science.
Hizo dawa wanazozitengeneza viwandani wanazitengeneza kwa kutumia kinyesi cha mamako?

Kila ugonjwa una dawa yake. Na dawa ni mimea iliyoumbwa na Mungu.

Ati sayansi! Sayansi ya mbwa!! Mmewadanganya sana watu ninyi ili muendelee kuwaua kwa sumu pamoja na kuneemeesha maisha yenu.
 
See this fool. Ati wazungu wakisema hakuna dawa basi ujue hakuna dawa?

Wazungu ni nani? Kwamba yote wayasemayo ndio SI Unit?

Hata wakikwambia mavi ni dawa utakula wewe! Ati sayansi! Ptuu!!
Seriously can you even explain the pathophysiology of the arthritis condition or what it even entails?

Nilishakwambia before bila ya kuelewa how the condition impacts the biology ni sawa na kujibizana na (I reserve the word kwa sababu ni mtu wa kununa inabidi nijikumbushe ili ni jukwaa lingine) na haya matatizo ya lugha chafu kwa baadhi ya watu kama mimi ambao kutwa tunashinda jukwaa la siasa mods are to blame kule ndio nwendo wetu mpaka imekuwa tabia.

Back to the topic at hand, how do you even dare to argue about the science of medicine works and it’s intervention methods based on evidence whereby you can’t even explain how the medical condition impacts the biology (the another way of saying you don’t know pathophysiology of arthritis).

Lengo langu lilikuwa kumpa ushauri alieomba msaada namna ya ku-manage condition aweze kuishi nayo kwa amani bila ya kumsumbua.

Sasa wacha nikuachie wewe uendelee. Hila kabla sijakuacha wacha nikupe kazi za wazungu kadhaa

Huyo fala katumia muda mwingi sana kujifunza namna tunavyofikiri wengine na kufanya mambo kwa mtazamo wetu na kama wazungu wana la kujifunza so they shouldn’t take everything they see as being primitive to them; rather understand our interpretation first.

Through those line of Malinowski reasoning and his predecessors works on scientific hakuna kitu tunachofanya wazungu wanachukulia poa leo. Kila kitu wanataka kuelewa kwa mtazamo wetu kwanza before they dismiss based on evidence kuanzia kwenye dawa zetu mpaka kwenye uchawi. Na ipo ivyo popote duniani wanataka kuelewa na kujua hiyo knowlege if it’s necessar wanaitumia vipi part of their security measures.

Sito kutukana ila ntakuacha na ujinga wako because this was a medical issue. Ambayo kumuelezea muhusika maneno ambayo ningeandika kumsaidia I charge a million tsh kwa wanafunzi wa first degree; yeye angepata bure faida za kuanzisha mada JF zitakazo wagusa watu.

Me out of this for good.

My bad Mokaze pamoja na jinga kumbe nilikuwa namjibu chizi zaidi ambae anaenda kwenye ignore list soon. Aina maana wewe mzima mnfanana na huyu jamaa akili zenu kwa kiasi kikubwa.
 
Back
Top Bottom