Although there's no cure for arthritis, treatments have improved greatly in recent years and, for many types of arthritis, particularly inflammatory arthritis, there's a clear benefit in starting treatment at an early stage. It may be difficult to say what has caused your arthritis..
Mkuu pole sana kwa hayo maradhi ya Baridi yabisi katika mifupa hakuna tiba ya hospitali utakayo weza kutibiwa hayo maradhi na kupona sio rahisi kabisa. Nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
So far kisayansi hakuna dawa itakayotibu arthritis permanently....utakua unatumia dozi ikiisha basi unaskilizia tatizo litaporudi tena utanunua tena iyo dozi....
Dawa hizi mbili nazokutajia zinaleta matokeo mazuri baada ya siku 2 tu mpk utasahau km ulikua unaumwa arthritis...
1. Cataflam 50mg (hii ni expensive kidogo)
2. Meloxican
Habarini wadau, naomba ushauri wa tiba au dawa kwa mtu aliye umwa ugonjwa wa Arthritis ( barid yabisi) kwasababu nateseka sana na huu ugonjwa na nisha tumia dawa nyingi. Na unaniumiza sana maeneo ya kiuno na wakati mwingine nashindwa ata kuinama na kusimama vizurii.
Umeamua kunitusi ?!---- sasa nenda kawaambie hao mabwana zako NHS kwamba dawa ni Binzari , huyo mgonjwa Beatus Alex atumie Binzari kama kiungo katika mboga anazo kula, anaweza kutumia hiyo Binzari kwa Wiki hadi mwezi hadi hapo atakapo pona kabisa.
Unataka ku discourage wagonjwa hapa ili wakate tamaa na wafe!!!, that is a diabolic.
Turmeric is an effective home remedy for muscle pain,Huyu jamaa mwenye hii changamoto nilimwambia mda mrefu aje nimpe dawa akafanya mchezo,afya ni mtaji,pia kuirudisha afya iliyopotea ni gharama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.