mpatto
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 766
- 1,033
Huku nikifahamu kuwa JF ndipo mahala sahihi kwa kupata ushauri, basi nawaomba wana bodi na wenye uelewa wa maswala ya ufugaji wanisaidie kwa hili:
Nimepanga kuanza ufugaji wa kuku, je:
Nimepanga kuanza ufugaji wa kuku, je:
- Nifuge kuku wa aina gani? wa kienyeji au wa kisasa?
- Kama ni wa ki sasa au chotara, je nifuge wa mayai au wa nyama?
- Technich za soko zikoje?