Si kweli, la kwangu lina mwaka wa kumi na hata halijabadilisha ugumu wake wa asili usioumiza lakini.
Baada ya Tanform at least QFL Dodoma; Banco labda siku hizi wawe wameboresha, hapo katikati yalikuwa hayafai kabisa.
NB
Mimi si braza ni mother au sister!
spring matress ni nzuri ila mimi kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa huwa nalala kwenye floor, naweka blanket chini naangusha nimegundua hii nainjoy zaid, huwa napanda kitandani siku nikitaka gemu!