Msaada kuhusu tv za solar wakuu

Msaada kuhusu tv za solar wakuu

moudytz

Senior Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
149
Reaction score
183
Msaada wakuu nilikuwa natumia tv hizi za Mobisol badae ikawa inanisumbua nikaiuza.

Naomba kujuzwa ni tv ya kampuni gani za solar ambay ni nzuri kwa uangavu wa picha na uimara wake pia na bei pleasee.
 
kwa aliye wahi kutumia tv za zola vipi zikoje wakuu
 
Back
Top Bottom