ndugu kwa uelewa wng mdogo ni hv ukitaka kufanya transfer iwe tcu au nacte utakuta kozi ambazo bado zina nafasi chuo usika ndio unaweza kuomba kama kozi unayotaka aipo na uliisha lipia ndio imetoka hvyo uludishiwi cha kufanya hapo omba kwa kozi nyingine kwenye chuo ulichokuwa unataka akikisha una vigezo vyote kwa iyo kozi ukipata nafasi ukifika chuo husika omba nafasi ya kuama kozi kwenda uliyokuwa unataka kama nafasi zitakuwepo ila sijajua kama vyuo vyote wanakubali japo baadhi vinakubali