Polisi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,082
- 642
Wakuu, heri ya mwaka mpya
Nipo ktk kutafuta gari ndogo ya kutembelea. luxury but fuel efficient na iliyo ngumu. Baada ya kusearch kwa muda na kupitia review ya gari mbalimbali kama mark II grande, brevis, progress, na corolla new model, nimekuja kuvutiwa na hii TOYOTA CAMRY kwa soecification zake kama ifuatavyo
YOM: 2005
CC 2000
Engine type VVTI
Color silver
Seat leather
CIF Dar $2600
Taxes $2480
Naomba kama kuna mtu ana uzoefu na hizi gari anisaidie kama zina mapungufu makubwa niache au kama ni ya kawaida niendelee na process ya manunuzi
Asanteni sana