Wakuu habari za mapumziko. Naomba anayejua toyota caldina anisaidie juu ya ulaji wake wa mafuta. ni ya mwaka 1998, odo 183,000, cc 1760, engine 7A - FE. nimejaribu kuperuzi humu jamvini naona haijawahi kujadiliwa. Nisaidieni nataka niivute.
caldina ni nzuri. sema kwa hiyo ulioichagua, naona kama mileage imekwenda sana ila nakushauri uichukue. ulaji wake wa mafuta hautofautiani sana na raum. all the best mkuu
Wakuu habari za mapumziko. Naomba anayejua toyota caldina anisaidie juu ya ulaji wake wa mafuta. ni ya mwaka 1998, odo 183,000, cc 1760, engine 7A - FE. nimejaribu kuperuzi humu jamvini naona haijawahi kujadiliwa. Nisaidieni nataka niivute.
<br />
<br />
itakuwa around dola 3,098. But nenda ktk website ya tra, angalia retail price yake kwa sasa, chukua hiyo figure iuweke kwenye fomula yao itakupa kodi. Then angalia ipi kubwa kati ya 3,098 na figure ya tra. You will pay the higher
Pamoja mail zake ulizotoa,Hakika ninavyoifahamu gari nikiwa km fundi wa gear box na full engen ni kwamba lt 1 itaenda kilometre 10 kwa lita moja ikiwa ktk speed 80 ya mwendo na ujue ndiyo magari yanayoonekana ni mapya hapa Tanzania ye2. Chukua gari Commander wangu.