E ericford JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 265 Reaction score 68 Jun 4, 2015 #1 habari za asubuh...wakuu ninatumia tecno m3 lkn ina shida moja nikitaka kuupdate app nilizonazo au kudownload nyingine inaniambia hivi..'error download' niliambiwa nifute app ambazo sizitumii baada ya kufanya hivyo tatizo limeendelea je nifanyaje? Attachments 1433396865177.jpg 12.6 KB · Views: 105
habari za asubuh...wakuu ninatumia tecno m3 lkn ina shida moja nikitaka kuupdate app nilizonazo au kudownload nyingine inaniambia hivi..'error download' niliambiwa nifute app ambazo sizitumii baada ya kufanya hivyo tatizo limeendelea je nifanyaje?
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 Jun 4, 2015 #2 Jaribu kuifanyia hard reset
Wissman JF-Expert Member Joined Dec 12, 2014 Posts 1,034 Reaction score 1,319 Jun 4, 2015 #3 Clear playstore cache+google framework+playstore service. Ikiwa hivyohivyo uninstall playstore service updates
Clear playstore cache+google framework+playstore service. Ikiwa hivyohivyo uninstall playstore service updates