Habari zenu humu...
Mimi ni kijana mtanzania nimemaliza kidato cha sita. Mchepuo wa hgl...nimefaulu kwa kupa daraja la pili na point 12....nimeamua kujaza TCU application mwenyewe kwa kutumia smartphone angu....
Nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna sehemu nimekosea nisahihishwe ili in edit....
Na pia nilikuwa naomba kujua he kama chuo kina hitaji wanafunzi 90 je wakizidi hiyo idadi wanaangalia mini ???waliowahi kuomba au ufaulu wa mtu[/QUOTE]