niliwahi kuomba msaada wa namna ya kutatua tatizzo la kutokuwaka kwa simu tecno y4 wapo walionisaidia kwa vitendo na wapo pia walionisaidia kwa ushauri.. ushauri mkubwa ulikuwa ni kuipeleka simu yenyewe tecno.... ahsanteni wote mlionipa msaada kwa namna yoyote ile... niliipeleka simu kwa duka la tecno na huko ilikaa mwezi mzima,, na nashukuru imerudi na imewaka,, ila imerudi na tatizo lingine la kutokuwa na nertwork muda wote,, yaani nertwork not available muda wote.. tafadhali naombeni msaada wenu kulitatua hili tatizo