Msaada kuhusu tatizo hili la tecno y4

Msaada kuhusu tatizo hili la tecno y4

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
3,435
Reaction score
4,254
Habari za majukumu wanajamii, wanajamvi nina mtu wangu wa karibu anatumia simu ya android Tecno y4, ina wiki sasa imegoma kuwaka kikamilifu yaani ukitoa betri kisha uiwashe inaganda kwenye maneno ya EXPIRIENCE SMARTLIFE NOW hata neno tecno haliji.

Tumejaribu njia nyingi kusolve hilo tatizo lakin imeshindikana, mfano tumetoa betri na kuirudisha kisha kuiweka kwenye chaji kwa masaa nane kisha kuiwasha lkn mambo ni yaleyale,, tumejaribu kutoa betri na kubonyeza kitufe cha kuwashia simu kwa sekunde kadhaa kisha kurudisha betri na kuiwasha lakini hatukufanikiwa, tumejaribu kubonyeza vitufe vyote vitatu kwa wakati mmoja yaani kitufe cha kuwashia, kuongezea sauti na kupunguzia sauti lakini hatukufanikiwa kubwa kabisa tumeenda kwa fundi kuiflash lakini pia hatujafanikiwa.

Hivyo naombeni msaada wanajukwaa juu ya namna ya kutatua tatizo hili..nifanyenini ili simu iwake..... Ahsanteni
 
Habari za majukumu wanajamii,, wanajamvi nina mtu wangu wa karibu anatumia simu ya android Tecno y4,, ina wiki sasa imegoma kuwaka kikamilifu yaani ukitoa betri kisha uiwashe inaganda kwenye maneno ya EXPIRIENCE SMARTLIFE NOW hata neno tecno haliji,, tumejaribu njia nyingi kusolve hilo tatizo lakin imeshindikana, mfano tumetoa betri na kuirudisha kisha kuiweka kwenye chaji kwa masaa nane kisha kuiwasha lkn mambo ni yaleyale,, tumejaribu kutoa betri na kubonyeza kitufe cha kuwashia simu kwa sekunde kadhaa kisha kurudisha betri na kuiwasha lakini hatukufanikiwa, tumejaribu kubonyeza vitufe vyote vitatu kwa wakati mmoja yaani kitufe cha kuwashia, kuongezea sauti na kupunguzia sauti lakini hatukufanikiwa kubwa kabisa tumeenda kwa fundi kuiflash lakini pia htujafanikiwa..... hivyo naombeni saada wanajukwaa juu ya nama ya kutatua tatizo hili..nifanyenini ili simu iwake..... ahsanteni
Upo pande zipi?
 
Back
Top Bottom