MSAADA KUHUSU ST AUGUSTINE CAMPUS YA MBEYA

Barbosa

Member
Joined
Jun 23, 2016
Posts
42
Reaction score
22
msaada tafadhali kuhusu hii campus ya mbeya
mazingira
ubora wa course hasa BAED
Uwezekano wa kupata mikopo
n.k
msaada wa haraka bandugu
 
Sijui usaidizi upi hapo maana inshu ya mkopo sina uhakika kama wao chuo watafanya upewe au ukose but kama umeomba huwa hawacheleweshi, karibu
 
Vingine sijui..

Ila kuhusu Mazingira ni pazuri mno kwa usalama na ni mjini..
Yani kutoka hapo mpaka uzunguni(mjini) ni dk10 kwa daladala na kutoka hapo mpaka Mwanjelwa(k/koo) ya Mbeya ni mwendo wa dk5 kwa kutembea(bila usafiri)..
Pia ukitoka tu unakutana na kituo cha daladala hivyo hutapata shida..

Na kama ni mpenda starehe ipo karibu na pub mbili kubwa kuliko zote hapa Mbeya (Mbeya City Pub + Mbeya Carnival Pub)...

Karibu Mbeya.
 
kaka umemaliza shukran sana umeelezea mpak nkaona kama niko mbeya vile
thanks a million bro
 
Back
Top Bottom