Msaada kuhusu software ya kutengeneza photo entry za usajili Form Four wakati wa usajili

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
597
650
Wadau wa hili jamvi
Kwanza kabisa natoa shukrani zangu kwenye hili jamvi,kila jambo ambalo limekuwa likinitatiza nimekuwa nikipata majibu na ufumbuzi wake humu.Watu wanashare bila ubinafsi.
Leo nambeni kusaidiwa katika hili,kwa wale wanaifahamu wakati wa usajili wa Form Four huwa kuna kupiga picha wanafunzi na kutenegeza Photo entry.Nauliza software inayotumika ku resize picha na kuweka format sawa sawa na maelekezo ya baraza.
Nataka niijue jina lake na je inapatikana torrents sites ili niipakue.
Pia kwa wale wazoefu je microsoft office picture manager haiwezi kufanya hiyo kazi.Ntashukuru sana kwa msaada wenu wana Jf
cc Chief Mkwawa
 
kwangu mimi sifahamu hio process ipoje na ndio word inaweza kuresize picha, ila ni vyema ukatumia paint (inakuja na pc ),
sema kwenye maelezo yako hujaweka hio resolution ya size ya picha na wala hujaeka hio format
 
Wadau,najua wengi wanalijua hili ila hawataki kisharw ujuzi.Jamani naombeni tushare ujuzi.
 
Back
Top Bottom