Msaada kuhusu software Private VPN

Rubi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,615
Reaction score
335
Jamani nimei-download hii software ya private VPN na inaniamabia mtandao wangu uko private cha ajabu nimeshindwa kusain in kwenya my yahoo email mpaka nilipoi-offline.

Naomba ufahamu zaidi kuhusu hii software, faida na hasara zake kwa anayejua plz.
 
una hela nikuuzie vpn client 1 ninayo full?
 

vpn ni software inayokaa baina yako wewe na vitu unavyotumia kwenye internet. mfano unaingia yahoo basi unatuma request kwenye vpn halafu wao wanaingia yahoo wabnakuletea data.



faida za vpn
1. inakufanya mtu asiweze kukujua kwenye internet. mfano ukiwa unatumia vpn yenye server za marekani unaonekana we ni mmarekani na si mtanzania
2. unaview website ambazo huruhusiwi kuview. mfano upo chuo facebook na youtube wameziblock basi vpn inazi unblock
3. unajilinda na virusi na malware wa internet sababu vpn zina firewall

ila hasara inakuja pale unapodownload vpn mbaya isiyojulikana basi hapa unaweza usikubalike kwenye website.

possible hio yahoo wanaijua vpn thats why inakaa offline maybe sio nzuri

pia vpn zinaweza kuspy computer yako, kukuletea matangazo na hata virusi.

so kuwa makini na kama unataka kutumia vpn tumia ambazo zinafahamika service zao
 
ndugu yangu asante sana kwa maelezo yako, ile yangu nafikiri ilikuwa ya sweden na nilijua hilo baada ya kushindwa kusign in kwenye email yangu ya yahoo. kila nikisain wananiletea maswali nijibu ambayo mimi mwenyewe nilikwisha yasahau tangu zama hizo hivyo ikabidi niioffline ndio nikaweza kusain in. ila nilikuta msg kutoka yahoo kuwa someone was trying to sign in in my account by using VPN from sweden is it you? nikajua ndio sababu.

ila ndugu yangu hizo nzuri ni zipi kama wazijua msaada tafadhali ile ya mwanzo ilibidin nii uninstall.
 

vpn nyingi ni za kununua hizi ni baadhi ambazo ni za bure.

pdproxy- watakupa mb100 kwa siku kama mtumiaji wa bure na utaweza tumia server 2 za marekani za demo-server

security kiss- wana server nyingi zaidi wao wanatoa mb300 kwa siku kwa mtumiaji wa kawaida.

hotspot na expat shield vpn. hawa nao ni bure na ni unlimited wana server za kumwaga ila weakness yao wanaeka matangazo mengi hadi kubrowse inakua shida.
 

naomba unisaidie jinsi ya kufanya configuration kwa hotspot au expat shield vpn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…