Msaada kuhusu simu za Google Pixels

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Habari za muda huu ndugu zangu. Naomba kwa kuanza kuwa mimi ni mpenz sana wa simu nzuri, kiukwel kabisa mwanzoni nilikuwa natumia samsung note series. Nilianza note 5 hadi 10 ila mambo ya ada ikabidi niuze na kuchukua tecno. Sasa hivi kidogo naona kamfuko kangu kananiruhusu kurudi kwenye simu zenye chati kidogo.

Naombeni mnipe kaelimu juu ya hizi simu za google pixel utofaut na simu zingine za android(samsung hasa upande wa note series maana nimewahi tumia baadhi) vipi upande wa camera zake na kadhalika.

Ila napenda kujua zaid hii google pixel 4a. Ambayo kwa sasa naona ndio toleo lake mpya mengine bado hayajatoka. Asanteni sana na samahani kama kiswahili kibovu nina imani nitakuwa nimeeleweka.
 
Majukumu yananibana..pia nothing new..kitu anachofanya mwenye simu ya cost hizo kubwa..mimi naweza fanya kwa cost ya chin ya hapo
Siyo kweli labda kama unapiga na kutuma sms, ila kama ila kama simu yako unaitumia kuacess email account yako, calender, kuwa connected na account zako za online muda mwingi, kama linkeid, upwork, instagram, facebook, freelancer, quora, templar, yani in short kama unaitumia simu kama mbadara wa PC muda mwingine basi lazima simu ya chini ya laki moja itafail kurun utitiri wa apps.
 
Hapo umenena kiongoz
 
Habari za muda huu ndugu zangu. Naomba kwa kuanza kuwa mimi ni mpenz sana wa simu nzuri, kiukwel kabisa mwanzoni nilikuwa natumia samsung note series. Nilianza note 5 hadi 10 ila mambo ya ada ikabidi niuze na kuchukua tecno. Sasa hivi kidogo naona kamfuko kangu kananiruhusu kurudi kwenye simu zenye chati kidogo.

Naombeni mnipe kaelimu juu ya hizi simu za google pixel utofaut na simu zingine za android(samsung hasa upande wa note series maana nimewahi tumia baadhi) vipi upande wa camera zake na kadhalika.

Ila napenda kujua zaid hii google pixel 4a. Ambayo kwa sasa naona ndio toleo lake mpya mengine bado hayajatoka. Asanteni sana na samahani kama kiswahili kibovu nina imani nitakuwa nimeeleweka.
Kwanza mkuu hizo pixel ni midrange zote huwezi pata same perfomance kama note 10. Uzuri wa pixel mpya over samsung ni kama
1. Zinatumia stock android na utapata updates za haraka haraka.
2. Pengine camera inaweza ikawa nzuri.

Ila ukichagua flagship ya samsung utapata
1. Simu yenye perfomance kubwa zaidi.
2. One ui ina features nyingi zaidi kuliko stock android.
3. Premium features nyengine kama display nzuri ya amoled, certificate karibia zote etc.
 
Back
Top Bottom