Inawezekana!
Unalipia Mzigo kwa Supplier wako, then unawapata Details hiyo Shipping Company, wanaenda kagua mzigo wako, wanatoa charge zao, unalipia, wanachukua mzigo toka kwa Supplier au Kiwandani, wanasafirisha, iwe kwa Meli au Ndege!
Binafsi Sijawahi kufanya kazi na hii Kampuni, ila mara ya kwanza niliisikia Kariakoo, kuna jamaa zangu Huwa wanaagiza Simu na vitu ingine, Wanatumia Kampuni hii....