Ni taratibu zao hata mm nimesoma shule wakt tunaingia kidato cha nne 2005 wastan wa kuingia formfour ulikuwa 60 ila shule ilitaka wanafunzi 50 pekee ndo waingiie kidato cha nne so wakapandisha wastan mpk 70 sababu watu walifaulu sana
Shule za ivyo huwa zinalenga zaid kupata one zote kidsto cha nne so hawataki kuchafua CV yao