Msaada kuhusu shule ya sheria

makodinda

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
1,540
1,299
Mdogo wangu anaingia law school mwezi august aliniomba nimuulizie kama shule ya sheria bado wanatoa mkopo au wamesitisha kipindi hiki.....kama bado wanatoa jinsi ya kuomba ni vipi msaada wadau wa sheria
 
Wamesitisha tangia cohort 19 kama sikosei. Ila ajaribu kuuliza pale sasa hivi labda kuna mabadiliko yamefanyika Jana.
 
Back
Top Bottom