Kuna tofauti kati ya paid vacation na unpaid vacation na kulipiwa nauli ya kwenda kwenu whether umechukua paid au unpaid vacation. Ambacho sielewi ni kwa nini mtu ulipiwe nauli ya kwenda kusalimia kwenu ilhali unalipwa mshahara.
Paid vacation haiathiri mshahara wako. Ukienda likizo utalipwa mshahara wako kama kawaida. Ila kwa uzoefu wangu, unapochukua unpaid vacation ni kwamba unakuwa huna PTO (paid time off) hivyo ukitaka kuchukua likizo basi hiyo likizo itakuwa ni ya bila malipo.
Sasa unaenda zako likizo halafu eti mwajiri wako anakulipia nauli ya kwenda huko unakoenda, WTF!! Nahisi labda tunazungumzia labor laws za nchi tofauti kabisa. Mwisho wa siku ni uamuzi wa mwajiri na sheria za hiyo nchi zinasemaje kuhusiana na hayo mambo ya vacation/ paid time off na kadhalika.
Kama mwajiri wako yuko fair na anajua kuwa unatakiwa kulala siku 3 njiani ni lazima akulipie. Kila baada ya saa 6 unatakiwa kulipwa transit allowance ambayo ni nusu night. Inalipwa kwa kila mtu awe Mke/Mume/ mtoto au mtegemezi wote wanastahili kuwa paidNaona kama mambo yanachanganywa. Kuna waajiri wanaolipa mshahara wa mwezi mmoja mtumishi anapokwenda likizo, wengine wanalipia nauli n.k.
Ila suala ni palae mtu anapokuwa analipia nauli halafu mtu analala njiani siku tatu. Anastahili posho ya kula/kulala?
Kama mwajiri wako yuko fair na anajua kuwa unatakiwa kulala siku 3 njiani ni lazima akulipie. Kila baada ya saa 6 unatakiwa kulipwa transit allowance ambayo ni nusu night. Inalipwa kwa kila mtu awe Mke/Mume/ mtoto au mtegemezi wote wanastahili kuwa paid
Hivi kila ajira bongo ni ya mkataba?
Mkuu nirudi hapo kwenye kifungu cha 43 ya ELRA, bado mwajiri anatakiwa kisheria kutekeleza kati ya hizo options tatu kama amekatisha makataba na mwajiriwa for gross misconduct?
Let me be in the same pool but in a different pond. Mosi, Je kama mtumshi ana ndoa ya kimila, mwajiri atathibitisha vipi ili aweze kumpa mke/mme wa mwajiriwa stahili zake kama vile nauli ya likizo n.k? Pili, Je ni sahihi kwamba mtumishi akilipwa nauli ya likizo mwaka huu, mwaka unaofuata hapaswi kulipwa? Tatu, Mtumishi anaposafiri safari ndefu ambayo inabidi kulala njiani anapaswa kulipwa posho ya kujikimu? Mwisho mwajiri anamlipia nauli mtumishi kwenda place of domicile, recruitment au popote mtumishi anakotaka kwenda wakati huo?
naomba ufafanuzi wakuu
Tanzania Employment and Labour Relations Act,2004.English & Swahili version!
Thanks for the docs, Mama Obama. Be blessed with 14 children.
for god's sake nanren....do you know how much it takes to raise a single child? Amen to that blessing anyway, because, i can do everything through god who strengthens me!!!!