Msaada kuhusu " severance"

Msaada kuhusu " severance"

lushalila

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
282
Reaction score
109
Naomba msaada kwa mwenye ifahamu wa sheria ya ajira, kuna kitu kinaitwa severance kwa mtu aliye maliz amkataba wa ajira,
Inamlazimu mwjiri kukupa au ni hiari tu ya mwajiri. Ahsanten
 
Inategemea kama imeelezwa kwenye mkataba

Kwenye Termination ya Mkataba kama imeelezwa Severence Pay basi Mwajiri hana option
 
Inategemea kama imeelezwa kwenye mkataba

Kwenye Termination ya Mkataba kama imeelezwa Severence Pay basi Mwajiri hana option
It is a legal right (entitlement), not a contractual aspect. Mwajiriwa ana haki kisheria kulipwa severance pay kama anakidhi vigezo. It operates impliedly on legal grounds despite the fact that it was expressly included in the cotract or not.

Jamaa kama anakidhi vigezo akadai tu.
 
Back
Top Bottom