dasi besi mi pia nilikutana na hio ishu kama week mbili zilizopita...Nimeamka asubuhi nashika simu yangu tu nikashangaa notification "sd card unmounted unexpectedly" baada ya hapo haikuweza kutumika tena,
niliijaribu kuitoa na kuirejesha haikufaa,nkaweka kwenye laptop pia haikuonekana kabisa na hapo ndio ikawa mwisho wa habari yake...Nilipoteza kila kitu zikiwemo picha zangu ambazo ndio zilikuwa muhimu zaidi kwa kweli niliumia sana, nilienda nunua mpya ya samsung ndio znasemekana ndio O.G!
Cha kufanya andaa hela katafute memory nyingine.