Msaada kuhusu screen protector

Jayspeed

Senior Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
156
Reaction score
169
Habari zenu wadau mimi naomba msaada wenu wa kiufundi jaman simu yangu niliweka screen protector ila kwa sasa imekwaruzika nlikua nauliza jaman kama naweza kuitoa na kuweka nyingine msaada tafadhal
 
inawezekana mkuu.mimi mwenyewe nilinunua screen protector kwa ajili ya simu yangu lakini nimegundua ni nyembamba mno nina mpango wa kuitoa niweke nyingine bora zaidi
 
Asante je naweza kuitoa mwenyewe au mpaka ufundi
 
duh..mkuu unamaanisha screen protector au screen kama screen yenyewe?kama Ni screen protector unaweza Toa mwenyew na ukabandika nyingne..haitaj fundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…