Msaada kuhusu scholarship

Msaada kuhusu scholarship

star TMT

Member
Joined
Feb 27, 2017
Posts
27
Reaction score
20
habari wadau
1.Naomba msaada kuhusu fully funded scholarship zitolewazo sehemu mbalimbali dunia
2.Jinsi ya kuomba hizo scholarships
3.website mahsusi za scholarships
 
aiseeeeeh!anaejua atusaidie na mimi nahitaji sana hizo!
 
Nisubiri nakuja na majibu ila jiandae kusema umesomea fani gani na una ufaulu gani, maana scholarship zinatolewa kutokana na priority ya dunia, ufaulu, uduni wa kiuchumi, kipaji binafsi.
 
Back
Top Bottom