engineer rutebuka
Member
- Dec 6, 2018
- 21
- 3
Naombeni mnisaide hivi satellite inadumu kwa miaka mingapi toka ianze kuzunguka kwenye orbit yake
au ndo wale Injinia ngapi huko?Nenda NASANimeingia google Ila sijapata majibu yaliyosimama
Je MEO inadumu kwa mudà gani?Design za satellite mara nyingi hutengenezwa ili zidumu kwa miaka 10-15 ingiwa zinaweza kupitiliza hapo zikiwa tayari zimerushwa na muda wake kuisha (expire date) ni Kama unavyo tumia majani ya Chai yaliyokwisha muda wake.
LEO satellite zenyewe zinadumu kwa miaka 5 na GEO satellite zinadumu kwa miaka 8
Hizi ICO zinadumu zaidi ya LEOJe MEO inadumu kwa mudà gani?
HowIt never stop!
Tusubili majibu kutoka kwa wadausijui