Msaada kuhusu Samsung Galaxy S4

Msaada kuhusu Samsung Galaxy S4

zanishaha

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
142
Reaction score
40
Kuna mtu ana s4 galaxy,
Nimefanya test ya sensor kwa *#0*# navyenginevyo inakubali,but nyuma imeandikwa made in china,je kuna mwelewa wa hizi s4,nitaijuaje kama ya orginal,

Msaada please
 
Hiyo ni original mkuu...mimi yangu ina nembo ya china na ni original
 
Kuna mtu ana s4 galaxy,
Nimefanya test ya sensor kwa *#0*# navyenginevyo inakubali,but nyuma imeandikwa made in china,je kuna mwelewa wa hizi s4,nitaijuaje kama ya orginal,

Msaada please
*#0228# battery status
 
Back
Top Bottom