wakuu salama?bila shaka humu kuna wafanyakazi wa ifm au pia yoyote yule mwny uelewa wa hili ninalouliza hapa anisaidie...nimechaguliwa ifm ila sijalipa ada bado so sijawa registered je deadline ya kulipa ada ni lini?mana nasikia tetesi ni ijumaa hi..pili nilitaka kufanya transfer kutoka Bsc in social protection:what:to Business adm kwny chuo kingine lkn hilo suala la transfer naona nacte wapo kimya USHAURI TAFADHALI