Hi GT, nimekwama ktk kununua dekoda sahihi kwani zimekua nyingi na kila 1 ina disadvantage yake. Shida yangu nimekutana na mafundi/busines men wanauza receiver /dekoda aina ya wiz- tech wanadai kua inashika chanell zote za Tanzania na baadhi ya za nchi jirani, pia hakuna kulipia maishaini(bure kuangalia chanell ).
Pia wanauza tsh 200,000/- Shida ya je, ni kweli? Je, mathara yake nini?(what are its disadvantages). La mwisho je, ni kweli free of charge kwa dekoda ya continental inaisha August 2015? Shukrani ndugu zangu!