Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Aroon unania ya kujua kiingereza?
Ndio cha kuongea
Huna nia wewe, ungekuwa nayo tayari ungeshaenda kwa Ras Simba kufundishwa kwa kutumia ile formula ya N+T+S ambayo aliitoa Ulaya.
Kwani kitu gani, usipoelewa anakurudishiaa hela yako.
Utakuwa. ..ras simba ww
Unataka kuongea kiingereza au hutaki?
Soma post ujibu ulichoulizwa
Ras Simba nae ni jipu
Nenda British council,
Pale ukimaliza lzm upige ung'eng'e kumshinda Malkia Eliza.
Hivi ipo wapi hiyo British council? ada bei gani na kozi inachukua muda gani?British Council ndo kila kitu man...Au kama vipi muulize Diamond kafanyeje
Hivi ipo wapi hiyo British council? ada bei gani na kozi inachukua muda gani?
Masomo yanaanza saa ngapi hadi kumalizika?Iko Posta karibu na steers,
Pale lzm ujue kwasababu mnakutana mataifa mbali mbali,
Waalimu ni wazungu (hawajui kiswahili)
Wanafunzi utakutana na wachina, wakorea, waarabu, yani tofauti tofauti na wote hawajui kiswahili, so lugha ni moja tu ya mawasiliano ENGLISH,
Ada zao kwa sasa nadhani itakua imefikia laki 4 na nusu mpk 5,
Kwa miezi mitatu.
Kama wwNenda British council,
Pale ukimaliza lzm upige ung'eng'e kumshinda Malkia Eliza.
Masomo yanaanza saa ngapi hadi kumalizika?
U still learning?.. Utakuwa advanced level ukienda kwa ras simba unakuwa mwalimuHehehehehe,
Si sana, i'm still learning.
U still learning?.. Utakuwa advanced level ukienda kwa ras simba unakuwa mwalimu