msaada kuhusu programming

msaada kuhusu programming

nikipata VB.NET, C#, C++, ASP.NET, Nyingine zozote zinazoweza kunifaa

Umesema una knowledge ya HTML

1. Soma C# HAPA
2. Soma asp.net (na MVC pamoja) HAPA
3. Soma sql basics HAPA
4. Jisomee asp.net MVC zaidi HAPA

Huna haja ya kuingia kwenye vitabu complicated.

Pata basic knowledge hapo ndiyo uanze kusoma vitabu na kuchambua mwenyewe.
 
habari za mchana wadau kiukweli mimi ni mwanafunzi wa sec na huwa natumia muda mchache wa likizo kufanya practical sasa nilikuwa nasoma web developing na nimefanikiwa kuelewa html,css,na javascript sasa nilikuwa nataka niamie apps developing nilianza kusoma python alafu C# lakini zote naona sizielewi so nilikuwa naombeni ushauli nianze na nini maana dhumuni langu ni kuja kutengeneza app kama ya fb itakayo kuwa inareact with my server
All the best,naamini huko shule unafanya vizuri,usije jifunza mambo mengi usiyoyahitaji kwa sasa then ukafail hiyo Secondary yako kisa programming."Do the right thing at the right time".
 
Thank you bro
 
All the best,naamini huko shule unafanya vizuri,usije jifunza mambo mengi usiyoyahitaji kwa sasa then ukafail hiyo Secondary yako kisa programming."Do the right thing at the right time".

Thank you bro
 
Don't start with PHP, start with either Ruby or Python (If you want to do web development). PHP is just a bad language especially if you are just starting so i'd suggest you stay away from it (You can learn it later when you master either python or Ruby). Knowing HTML+JavaScript is a huge advantage so if you have mastered those already congratulations!
 
Kwa app kama fb unatakiwa kujua php,javascript,css,html na sql kwa ajil ya database
 
habari za mchana wadau kiukweli mimi ni mwanafunzi wa sec na huwa natumia muda mchache wa likizo kufanya practical sasa nilikuwa nasoma web developing na nimefanikiwa kuelewa html,css,na javascript sasa nilikuwa nataka niamie apps developing nilianza kusoma python alafu C# lakini zote naona sizielewi so nilikuwa naombeni ushauli nianze na nini maana dhumuni langu ni kuja kutengeneza app kama ya fb itakayo kuwa inareact with my server

No Shortcut, Learn it yourself or pay somebody to teach you!
 
Kwa app kama fb unatakiwa kujua php,javascript,css,html na sql kwa ajil ya database

Mkuu kama sikosei mdau kasema anataka app kama fb, na sio kwamba anataka functionality na technology waliyotumia fb.

Nimemshauri atumie asp.net kwa sababu development time and learning time sio ndeefu kama hizo technolgy nyingine.

Kuanzia UI, Business Objects hadi Database Development kwa kutumia asp.net na .net vitu vingi sana vimerahisishwa.

Kwakuwa wewe ni mtaalamu wa PHP ingependeza umpe ushauri wa frameworks anazowetumia ili kurahisisha developement process na kuokoa muda pia.

Pamoja
 
No Shortcut, Learn it yourself or pay somebody to teach you!

Mkuu Mtangoo!
Sio mbaya tukishare knowledge tuliyonayo bila kutegemea malipo. Nchi yetu bado ipo nyuma sana ktk ulimwengu wa IT.
Mpe kijana ujuzi,pengine atakuwa developer mzuri ktk ofisi yako. hehehehe.

Hongera kwa kazi nzuri ya IT unayoifanya.

Sharing haina malipo ila hapo sio kwamba ana swali. Anahitaji darasa kabisa la kumpa misingi, ndio nikasema niliyosema.
Thanks for compliment though 🙂
 
Hivi umefikia wapi? maana mimi ndyo nataka niamke na kuanza ulicho kipost 2014?
 
Yaani hakuna mdarasa mzuri niliowahi kuingia kama huu
 
Back
Top Bottom