TVS HLX125 ndio habar ya mjiniGuys Naitaji kununua pikipiki kwa ajili ya bodaboda, sitakua naendesha Mimi nitamkabidhi MTU kwa ajili hiyo, je ni pikipiki IPI nzuri, imara? Affordable cost (Mimi sio mzoefu sana )
boxer bm150 ni nzur ikiwa mpya tu ila ikianza kutoa moshi na ukaifungua kubadili ringpiston ndio umeizika na haiji kuka sawa hata ufanye vp zaidi ni kupoteza pesa tu bila matokeo mazur/NINAZO MBILI ZOTE NIMEZI PARK NDANI NIMETUMIA PESA MPAKA NIKASEMA POOBoxer 150(toleo la zaman) ndio pkpk tvs hakuna pkpk pale
Nmeendesha Honda CGL 125 na boxer 150. Hii Honda ina kama miaka 10 ila bado nzima kabisa ila hii boxer imezeeka ingawa ina kama miaka 4 tu.Pikipiki bora ni za mjapani,Yamaha au honda
Nmeendesha Honda CGL 125 na boxer 150. Hii Honda ina kama miaka 10 ila bado nzima kabisa ila hii boxer imezeeka ingawa ina kama miaka 4 tu.
Naunga mkono pikipiki ni za mjapan
Mkuu nahitaji aina hii ya Honda cgl 125 brand new nitazipata wapi?
Hauziuzi??boxer bm150 ni nzur ikiwa mpya tu ila ikianza kutoa moshi na ukaifungua kubadili ringpiston ndio umeizika na haiji kuka sawa hata ufanye vp zaidi ni kupoteza pesa tu bila matokeo mazur/NINAZO MBILI ZOTE NIMEZI PARK NDANI NIMETUMIA PESA MPAKA NIKASEMA POO