FREDRICK IHEMBE
Member
- May 6, 2012
- 45
- 1
Naomba msaada jinsi ya kutumia pd proxy kwenye voda maana na scan pd proxy znagoma

ndo shida ya kugawa hivi vitu ovyo mtu anajiachia kama vile hii kitu ilikua halali daah mmetucost nyie
kaka mbona kitu iko hewani hii
Vp haujapokea email nn?
nimepata kaka
sio Bifu kuna mtu kanikoroga namsubiria tu maana muda utaeleza
Maana Port ya jana haikuwa na utaalamu wowote mtu yyeyote ambaye aliconnect PD around saa kumi mchana lazima ilimwambia Open port *** found sasa nayo imepigwa chini....
Sala yangu naomba isirejee ili mbuzi kasoro mkia jina nililoitwa aonekane ni nani
we mtoto wewe, me jukwaa hli hata sikanyagag ila nimekuja ksa upuzi wako
kisa nini mpaka mnatoleana maneno ya ivyo.
Mkuu najaribu kukutumia PM napa huu ujumbeHapo kinachoendelea ni kuwa dili la Free net limeroga...sasa huyu fate amehamua kubadili jina na Avat ili nisimkumbuke maana nimekuwa nikimpa mipasho yaaani alikuwa anaanika PORT mtandaoni kabla ya gari kupata puncture ndo maana unaona bado ana HASIRA na mm
Naomba msaada jinsi ya kutumia pd proxy kwenye voda maana na scan pd proxy znagoma