Ndugu naomba msaada kuhusu hili,nimemaliza kidato cha nne miaka minne ilopita na nikapata daraja la nne pointi 29 Kwa mchepuo wa sanaa.ninahamu kubwa ya kujiendeleza kielimu hasa kupitia chuo kikuu huria ila sijajua kozi watoazo pia gharama zao zkoje kwa ngazi ya cheti manake ni lazima nianzie hapo.Hvyo mwenye taarifa kamil kuhusu chuo tajwa anisaidie