Msaada kuhusu One Plus 8 pro (S20 Utra/Note 20 Utra)

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Naomba kujua kuna siri gani ndani ya One plus 8 pro maana kwenye chat nyingi ana wakimbiza hawa Samsung kama hivi karibuni antutu ameto chat zao za simu zenye nguvu one plus 8pro imewaacha mbali sana kina S na Note 20 utra naomba kujua simu gani ni kari kati ya one plus8pro na (S20UTRA /NOTE 20 UTRA5G)?
View attachment 1546380
 
mkuu tunapozungumzia simu duniani kwa ubora na uwezo kila mwaka.

samsungu, apple, huawei. baada ya hapo nyingine ndio zinafuata sasa kwa vigezo vya bei nk.

kama una mpunga wa kutosha usisite kuchukua hiyo s20 ultra ni simu zote.
Haya ndugu yangu hapo nimekuapata kaka
 
Weka sehemu zilizopata zawadi hapa kama oneplus haipo
The OnePlus 8 Pro walipata tuzo bora ya Smartphone. Jopo la waamuzi lilifurahishwa na jinsi kifaa huchanganya muundo na cutting edge, ikionyesha display ya 120 Hz 1440p +, Warp Charge 30 Wireless

One plus kashinda hapo

Tuzo bora zaidi ya Smartphone ilikwenda kwa Oppo find X2 Pro. Timu ya EISA inaiita "OPPO's smartphone bora zaidi bado" na inapenda onyesho la 120 Hz HDR, kuhifadhi nafasi 512 GB na chaja ya haraka 65 W.

Oppo kaondoka na hiyo
 
Na samsung walipata ipi?
 
Nina dream ya kumiliki oneplus kwa kwel ila tatizo hizi simu zao uwaga azishuki bei sijui kwa nini
 
Back
Top Bottom