Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,138
Mb chache afu utegemee upate high quality??Habari wakuu hii site inasifika kwa kupata movie au series kwa mb chache,bt kuhusu quality ni mbaya sna sijajua kama mm ndie nakosea nilijaribu kupakua season ya see episode moja kwa kwa option yao ya quality ile ya kwanza kabisa juu lkn bado ilionyesha ukungu sana na maandishi kuyaona ni issue, so nisaidie namna ya kupata movie yenye quality nzr.
jaribu- netnaijaMsaada
Shusha ile quqlity ya pili imeandikwa HDHabari wakuu hii site inasifika kwa kupata movie au series kwa mb chache,bt kuhusu quality ni mbaya sna sijajua kama mm ndie nakosea nilijaribu kupakua season ya see episode moja kwa kwa option yao ya quality ile ya kwanza kabisa juu lkn bado ilionyesha ukungu sana na maandishi kuyaona ni issue, so nisaidie namna ya kupata movie yenye quality nzr.
Kuna wadau huwa wanaipendekeza sana hii site so pengine wanaweza kutupa namna ya kupata quality nzr.Mb chache afu utegemee upate high quality??
Hii naona kama ni ya kikorea zaid mkuujaribu- netnaija
CorrectlyBofya kwenye hiyoView attachment 2036828
Nkiri pazuri mkuu bt series nyingi kule hakuna, eg see, Homeland, breaking bad etc.Jaribu nkiri.com
Kwa wanaoangalizia kwenye pcKuna wadau huwa wanaipendekeza sana hii site so pengine wanaweza kutupa namna ya kupata quality nzr.
Asante sana mtaalam umenipa mwanga, nimeanza kuitumia juzi so sina ujuz sana na hii site.Bofya kwenye hiyoView attachment 2036828
Asante sana mkuu, kuna mdau hapa nae kanielekeza hvyo, Asanteni.Shusha ile quqlity ya pili imeandikwa HD
Hapana mkuu zipo za aina zote ingawa sio hii site naona kama bado inakua so unaweza kupata chache kati ya unazozihitajiHii naona kama ni ya kikorea zaid mkuu
Shukran mkuu nitaizingatiaHapana mkuu zipo za aina zote ingawa sio hii site naona kama bado inakua so unaweza kupata chache kati ya unazozihitaji
netnaija.series ndo kiboko yao hiyo see ninayo inaquality nzuri kabisa unaweza weka kwenye flatscreen na ukainjoy kabisaHabari wakuu hii site inasifika kwa kupata movie au series kwa mb chache,bt kuhusu quality ni mbaya sna sijajua kama mm ndie nakosea nilijaribu kupakua season ya see episode moja kwa kwa option yao ya quality ile ya kwanza kabisa juu lkn bado ilionyesha ukungu sana na maandishi kuyaona ni issue, so nisaidie namna ya kupata movie yenye quality nzr.
Aisee nimeipakua see kupitia netnaij iko fresh kabisa mkuu, shukran.netnaija.series ndo kiboko yao hiyo see ninayo inaquality nzuri kabisa unaweza weka kwenye flatscreen na ukainjoy kabisa
Ingawa kuna nyingine konk hawajaweka mfano breaking badnetnaija.series ndo kiboko yao hiyo see ninayo inaquality nzuri kabisa unaweza weka kwenye flatscreen na ukainjoy kabisa