Hongera hata kufika hatua hiyo..watu wanasotea hela zao hadi inaumiza..sijui kwanini binadamu tumekuwa na roho mbaya hivi, mzee wangu kilakitu kimakaa sawa..kila akienda..wanasema iko kwenye approval, mwezi wa nne huu...sijui approval zinaenda mbinguni au wapi.. ndio wanataka kulambwa mkono?
Nyie watu wamifuko ya jamii..embu muogopeni mungu ..kidogo..loh