msaada kuhusu nokia lumia 510

CHINGUMBE

Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
70
Reaction score
26
Waungwana naomba msaada wenu natumia nokia lumia 510 inagoma katka huduma za Mpesa,airtelmoney na vifurushi vya mitandao hiyo so kama kuna mtu anajua jinsi ya kunlock ili i-support code za tanzania katka huduma hzo.
 
Windows Phone 7 haina uwezo wa USSD (mpesa etc) na hakuna njia ya kubadili hilo.

Windows Phone 8 ndo ina uwezo huo, hizi ni Lumia zote zinazoishia na ishirini 520, 620, 920 etc
 
Windows Phone 7 haina uwezo wa USSD (mpesa etc) na hakuna njia ya kubadili hilo.

Windows Phone 8 ndo ina uwezo huo, hizi ni Lumia zote zinazoishia na ishirini 520, 620, 920 etc

nmekupata kk ila inaniwia vgumu kwan bila mpesa du hapa nimelamba joka na mtu analia last card.Ila kama kuna mtu anaiitaj tunaweza kuongea biashara tu.
 
nmekupata kk ila inaniwia vgumu kwan bila mpesa du hapa nimelamba joka na mtu analia last card.Ila kama kuna mtu anaiitaj tunaweza kuongea biashara tu.

Tena ni mimi nimelia last card, mkuu umetoka!!
 
ndo nn hyo kk na inafanywaje tafadhali msaada wako manake nshapoteza matumain.

kuna jamaa alidesign app ya ussd kwa ajili ya mtn southafrica inapiga kazi kwenye wp7, nenda store andika emdial halafu jaribu kutumia uangalie maybe inaweza kubali mitandao ya tz
 
kuna jamaa alidesign app ya ussd kwa ajili ya mtn southafrica inapiga kazi kwenye wp7, nenda store andika emdial halafu jaribu kutumia uangalie maybe inaweza kubali mitandao ya tz

faza nmejaribu inataka MTN ya south Africa pekee so sijui kama voda wana yao au la, da! mimi natangaza biashara kwa anayeiitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…