computer_1X
Member
- Dec 24, 2013
- 15
- 4
msaada wakuu naomba yeyote mwenye hii simu anipe specs nyingi awezavyo juu yake...tafadhali include mapungufu ya hii simu.
mkuu bado unatumia lumia au ulirudi zako iphone?Ukilinganisha toka nokia warelease simu za lumia hadi leo kuna changes kubwa sana aisee. Big thanks to lumia. Kwanza wana apps nzuri sana na ni za ukweli kulinganisha na android.
App zote muhimu zipo kijana. Usijali kwa hilo.
Karibu Nokia
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk