Pa Amandu
Member
- Sep 4, 2018
- 62
- 40
Habari wanajf
Niliomba vyuo vinne kwa first round nikakosa vyote,second round nikakosa pia kwa vyuo vilivyotoa majina mapema na wakaniambia niombe tena third round nikafanya HVO, Mungu ni mwema Leo wametoa NIT nikaingia kwenye account yangu nikakuta wamenichagu ..
Issue ni kwamba wananiambia nithibitishe ilihali nimechaguliwa na chuo kimoja na hzo code za TCU cjatumiwa wakati huo third round nishaapply udsm,Mzumbe na ardhi..... Naomba msaada wa mawazo tafadhali